Wiston Mogha
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 168
- 141
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha makamanda wako Oysterbay mara moja 3) kama huwezi kufanya hayo, tafadhali JIUZULU mara moja.