Wiston Mogha
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 168
- 141
πMisime anajiandaa kukanusha hapo.
Umeongea point snZito anatakiwa aende mbali zaidi. Kama hataki kuwawajibisha hao mashetani, na hataki kujiuzulu, Wananchi tuungane, bila ya kujali tofauti zetu na namna yoyote, tuwaondoe kwa nguvu hawa mashetani katika ofisi zao. Njia zipo nyingi, tena njia halali kisheria na kikatiba.
ππππ€£ππIGP mwenyewe hajielewi
Huo ndio uthibitisho kuwa vyombo vya Dola vimehusika moja kwa moja kufanikisha unyama huu tena kwenye eneo lote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. π€So, how Osterbay afu Katavi?