Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

Joined
May 24, 2017
Posts
11
Reaction score
14
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa TCD, Zitto Kabwe akiwa na mwenyekiti aliemaliza muda wake kwenye taasisi hiyo, James Mbatia, wakijadiliana na Afisa wa Siasa Ubalozi wa Marekani, Phil Nervig nje ya mahakama walipoenda kusikiliza kesi ya Freeman Mbowe
 

Hiyo ni pigo kubwa kwa hawa hapa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Umoja wetu ni maumivu makubwa kwao.
 
Gaidi kachoka hoi.
ngoma bado mbichi kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kawaambieni na tunazidi kukaribiana na wengine kuliko wakati mwingine.

Kawaambieni ni suala la muda tu kama masikio yangali na chembe ya ubinadamu.

Ila kama anavyosemekana huyu mwamba:



Mnaweza waambia bado ni abiria wetu sisi ma taxi drivers.
 
Reactions: PNC
Mahakama ya mafisadi ya magufuli... Hayo mafisadi ya magufuli yapo mangapi?
 
Umepotosha wananchi toka kwenye heading .
Mahakama kuu devision ya ufisadi na uhujumu uchumi ipo Tanzania kabla hata ya huyo magufuli kuchukua formu ya kugombea uraisi
 
Mahakama ya Mafisadi papa inashughulikia Ufisadi/Ugaidi wa LAKI SITA, 600,000/=.

Magufuli akifufuka atawachapa makofi mbwa hawa
 
kwa ufisadi upi sasa, hz kesi zimekaa kichwa chini miguu juu
 
Kwahiyo Mbowe anashitakiwa kwa kufadhili ugaidi kwa laki 3 na kufisadi laki 3, jumla laki 6??
 
Ni aibu Sana serikali kupeleka kesi ya LAKI SITA kwenye Mahakama ya mafisadi[emoji3525].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…