Aoe sasa maana ufitina wake Umefikia mwisho Aoe atengenez familia yenye msimamo....aache kutumiwa na chama tawala mana sasa ataogopa kuiacha familia....lab atakuw mzalendo halisia!!
Mikia ndio nini mkuu?wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme
Urais wa Mwandiga au Tambukareli?2020 msije mkasema bachelor anagombea urais maana hamchelewi kutafuta sababu.
Ndio maandalizi hayo.Ha ha ha anajiandaa safari ya ikulu 2025
Dah watu kwa kujipendelea vitu vizuri, Mheshimiwa kabwe umejivutia mtoto mlainiii kama mkate, pamoja na kutafuta kwa muda mrefu mpaka uzee unakuita mheshimiwa ila hujakosea kuchagua... Big up sana usiniache kwenye kamati ya harusi
Mcanada pori yeye ni 'MTAWA' mwache apige kitabu, yuko semista ya kwanzaUshauri huo ni kwa Zitto au ni pamoja na Mnyika,Sugu, bila ya kumsahau Rais mstaafu wa Mioyo yenu alietawala vifua vyenu 2010-2015 aliepo uhamishoni Canada n.k?
Zito kawainspire vijana wengi kuingia kwenye siasa tukijua na maisha yake nje ya siasa si dhambi.Inakuaje tunajadili privacy ya mtu ? Ayo mambo tuwaachie ke.
Mcanada pori yeye ni 'MTAWA' mwache apige kitabu, yuko semista ya kwanza
Zito kawainspire vijana wengi kuingia kwenye siasa tukijua na maisha yake nje ya siasa si dhambi.
Aoe sasa maana ufitina wake Umefikia mwisho Aoe atengenez familia yenye msimamo....aache kutumiwa na chama tawala mana sasa ataogopa kuiacha familia....lab atakuw mzalendo halisia!!
wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme
..dada yetu wa chuo Jac.... naona katemwa.Dada yetu wa chuo ndio basi tena.......ila kitu cha ukweli nadhani singida au arabic hii
Kuuliza si ujinga, hivi ilo neno swissme lina maana gani?wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme