mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Wanathamini Sana rangi ya mtumeKwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!
Diva alishaikosa kitambo sanaHa ha ha, dah, kwa hiyo Diva kaikosa ndoa.
Hii ni Celebrity Forum. Hata Chid Benz alijadiliwa humu ili watu wapate taswira kutoka katika 'vioo vya jamii'Vijana Wa dar katika ubora wao kuzungumzia maisha ya watu
Kuna aina ya kumzungumza MTU.. Lazima uheshimu privacy yake au huekewi maana ya privacy ? Hata katiba ya JMT inatambua privacy ya mtu... Cheki comments za vijana Wa dar zinavyoingilia privacy ya MTU...Hii ni Celebrity Forum. Hata Chid Benz alijadiliwa humu ili watu wapate taswira kutoka katika 'vioo vya jamii'
figure za mke wa Mengi hizo,jaman wakubwa wanafaidi.wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme
Kufanya na kufuata yale aliyoyafanya Bwana Mtume ni SUNNA. Hapo Ustadh Zitto lazima atakuwa kapata 'SWAWABU' mia 700.Wanathamini Sana rangi ya mtume
Na mimi pia ninawafaidi hao wenye hizo figure.figure za mke wa Mengi hizo,jaman wakubwa wanafaidi.
Hivi ni diva huyu huyu wa mawingu ndo alizaa na mhe.Ha ha ha, dah, kwa hiyo Diva kaikosa ndoa.