swaga tu mkuu kwani umeliona wapi tenaKuuliza si ujinga, hivi ilo neno swissme lina maana gani?
zitto ana hesabu za mbali sana anataka first lady awe wa ukweli nadhani hapo demu ataingia english medium
umenikumbusha Lazaro Nyalandu anavyotamba na Faraja MajukwaaniSure.
Ni suala muhimu sana kwa serious politicians (Japo si wote)
Wakati mwingine huwalazimu kuingia katika mahusiano/ndoa na wanawake ambao hawawapendi kiuhakika, ila ni kutokana na muonekano wao, mara nyingi una-add value katika harakati zao za kisiasa majukwaani.
wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme
Mikia ni churaa mkuu. Ukimuweka ndani lazima arukeruke.Mikia ndio nini mkuu?
Doh,jaman hongera hata huyo binti etu hapo kwenye avatar anaonesha kama mamake ni mzuri na model kama Salma Msangi.Na mimi pia ninawafaidi hao wenye hizo figure.
swissme
Nasikia binti ni mdogo wa mjane wa filikunjombe sijui kweli au laDoh,jaman hongera hata huyo binti etu hapo kwenye avatar anaonesha kama mamake ni mzuri na model kama Salma Msangi.
Inawezekana si unajua hawa wanaelekezana nyumba za kwenda.Nasikia binti ni mdogo wa mjane wa filikunjombe sijui kweli au la
Dada yetu wa chuo ndio basi tena.......ila kitu cha ukweli nadhani singida au arabic hii
wapenda mikia mko wapi.check English figure.
swissme
Zito anaye mtoto ila hakuwahi kuoa
umemaindi[emoji23] [emoji23]Kwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!
[emoji23] [emoji23] alimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepaSipati picha wakati anakatokea sijui ilikuwaje, alikomaa mwenyewe au mshenga
Inatia moyo mabinti waliopigwa pasi kwa kwelifigure za mke wa Mengi hizo,jaman wakubwa wanafaidi.