Hahaha simpatii picha Zitto akishusha mistari kwa binti lol[emoji23] [emoji23] alimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepa
kuna msiachana hapa ameajiriwa juzi juzi hapa kazini, anapenda kulitamka ilo nenoitakua
swaga tu mkuu kwani umeliona wapi tena
Bro umenikatisha tamaa na maneno yako, hahahaNdio uzuri wa kuwa na hela . At40 anavuta kifaa cha ukweli. Kuwa na njaa zako uone mziki wa warembo.
Pole mkuu. Yaani ww jitoe mhanga kuzisaka tu, bby kibaoo utapata hata uko 60.Bro umenikatisha tamaa na maneno yako, hahaha
Duh! Nitaweza kupiga kazi kweli na 60 hiyo!Pole mkuu. Yaani ww jitoe mhanga kuzisaka tu, bby kibaoo utapata hata uko 60.
Ha ha ha ha hapo kwenye LEAGUE ndio sina uhakika.Duh! Nitaweza kupiga kazi kweli na 60 hiyo!
Anatia kitu cha lite,Naona amejaza Vitwanga vingi tu hapo mezani
Wanakwambia heshima pesa shikamoo makelele[emoji2] [emoji2] [emoji2]Pole mkuu. Yaani ww jitoe mhanga kuzisaka tu, bby kibaoo utapata hata uko 60.
Kama ni kweli kwa sound hizi alikubali basi kutongoza imekuwa kazi rahisi sana au jina lilimbeba[emoji23] [emoji23] alimwambia mrembo moyo wangu umenituma kwako nkwambie maneno haya nakupenda nataka nikuoe ila umesema nikuachie namba uujibu usinijibu mimi akampa namba afa akawasha gari akasepa
Wala si mzee... Siasa zimemkomaza suraZito hana mke, mbona kama umri umeenda kidogo au vipi, tutaanza ku-speculate vingine!
Mbona Mbowe anangara usoni, si anafanya siasa jamani!Wala si mzee... Siasa zimemkomaza sura
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbe anang'aa eeehMbona Mbowe anangara usoni, si anafanya siasa jamani!
What is wrong with kungara? Wewe ni mwenyeji wa pwani? Tanga, DSM , Mtwara , Lindi, Zanziba, Pemba?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbe anang'aa eeeh
ndio mwaya,wengine hawapendi wenye chura eti ni.....!Inatia moyo mabinti waliopigwa pasi kwa kweli
Binti ni mtoto wa Jaji Bwana ,mama ni mzunguNasikia binti ni mdogo wa mjane wa filikunjombe sijui kweli au la
Huyo mwanamke ni mzungu( mixed) sio muarabuKwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!