Ndolezi Petro
New Member
- Jun 26, 2024
- 4
- 1
Zitto baada ya kuondoka Chadema licha ya kwamba alitumia muda kujijenga chama hakujali aliamua kuanza upya na Chama Cha ACT Wazalendo.
Mwaka 2014 Mwezi Mei, 05 chama kilipata usajili wa kudumu na kazi ya ujenzi wa chama ikaanza. Safari haikuwa nyepesi ilikutana na utawala wa Magufuli ulio kataza vyama vya upinzani kufanya Mikutano na ikawa hekaheka kufanya Mikutano ya ndani .
Sera zake zenye Mvuto wa Kisiasa chama kikazidi kuungwa Mkono na Wananchi wengi na badae Hayati Maalim Seif Sharif Hamad na Viongozi wenzake wakavutiwa kujiunga na chama Cha ACT Wazalendo.
Nguvu ya chama iliongezeka na kuwa Chama Kikuu Cha upinzani Zanzibar.
Na kwa sasa ACT Wazalendo ndio chama mbadala wa Uhakika Katika kuleta mageuzi yenye sera zitakazoweza kujenga uchumi jumuishi kwa Watanzania wote.