Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

Kwaheri
 
Hivi Kati ya ZZK na Tundu Lissu Nani mkubwa??

Kiumri na kisiasa pia ki Hekima??
 
Walitoka nje baada ya njia zote kuonekana zimeshindikana, ulitaka wafanye nini.
 
Huna lolote umejawa na chuki zilizopitiliza, ukamuhujumu sana, na ndio maana mpaka hivi sasa unaendelea kuandika chuki
Kuna wameuliwa ndugu zao ,wataachaje kuwa na chuki, nyie mlio kuwa mnakula bata endeleeni kusikitika na waacheni wanaofurahia kwani wameumizwa sana na utawala huu. Sasa lieni hadi machozi ya damu yawatoke
 
Kumbe na wewe ni CCM tu yaani ugomvi wetu ni CCM sasa kama mnapigiana nao simu mnatusaliti sana CCM imetutesa miaka 50 sasa.
 
Huna lolote umejawa na chuki zilizopitiliza, ukamuhujumu sana, na ndio maana mpaka hivi sasa unaendelea kuandika chuki
Tafadhali rudia kusoma andiko la Zitto kwa utulivu, bila shaka utamwelewa kwa uzuri na si kwa ubaya. Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu zilizotugawa kama Taifa. Tuijenge Tanzania yetu yenye upendo na mshikamano.
 
Sisi wanyonge tulimpenda sana na kumuelewa Magufuli basi tu ni vile Mungu amempenda zaidi.
Apumzike kwa amani chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…