Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

Magufuli alichotufundisha wengi ni ujasiri na uthubuti kwamba mtu asimamie anacho kiamini no matter what!.mengine yote aliyoyafanya ni pumba tupu.

Mungu amlaze anapo stahili.
 
Unafiki mkubwa. Huko Twita si kamuita Stalin?? Pumbavu
 
We mnyonge uko timamu kweli kichwani?
 
Andika yako bhana.msi tujazie ma repost hapa..mods futeni ii
 
Nasubiri wamzike/msiba upite na mimi nije na yangu.
Mnavyohangaika utafikiri kuondoka kwa JPM njia itakuwa nyeupe kwenu wapinzani kushika dola kitu ambacho ni ndoto za mchana. Badala ya kushambulia mwili wa hayati JPM ambae wala hayamfikii mnayosema mgetumia mwanya huu kujijenga kisiasa kwa kuungana na walioumizwa na kifo hiki ili kuongeza idadi ya wananchi watakaowaunga mkono katika harakati zenu za kisiasa.
 
Kwaheri Magufuli,
Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu, Magufuli alifanya maendeleo hasa miundombinu. Alifanya anachotaka bila kufuata utaratibu.. Hapa ndipo linakuja suala la katiba mpya.
Tunahitaji taasisi imara ambazo haziyumbishwi.. Tunahitaji Bunge imara, Mahakama imara, siyo matakwa ya mtu binafsi bila kufuata utaratibu.
 
Kaburini hakuna Adhabu.
Kaburi ni kama trash bin/ Dampo la mwili usio na uhai.
Kama jambo huna elimu nalo bora ukae kimya. Tukikuuliza utupe ushahidu wa hiko unao au umejuaje kama hakuna adhabu za kaburini ?
 
Hata mimi namuombea Magufuli apumzike kwa amani, ila leo akishazikwa tuclose chapter yake na tuanze ukurasa mpya na Rais mama Samia tuijenge Tanzania yenye upendo.

Chuki zote za kisiasa tuzizike leo, Habari zote za Magufuli nzuri na mbaya tuzizike leo. Ndio kwa mtazamo wangu ni kwamba kuendelea kumtaja Hayati Magufuli ni kuhamsha hisia za upendo na chuki na tutazidi kuligawa taifa.

Mpaka sasa Mama Samia ndio Rais anayekubaliwa na makundi yote, upinzani, chama Tawala, wafanyakazi wa uma, wafanyabiashara nk. Kama tutaenda na huyu Mama shupavu kwa hakika tutalijenga taifa pamoja.

Hayati Magufuli abaki kuwa historia na mpango kamili kwa sasa ni Rais mama Samia.

RIP Hayati Magufuli
 
Mimi kuna vitu nimeona ni vipya kwangu, na haa naomba ufafanuzi wa vitu hivyo.

Ni ipi tofauti kati ya nchi na taifa ? Kadhalika Tanzia ili iwe Tanzia inahitaji kukusanya nini na nini ?
 
mkalimani nasema thé payment is hère hère thé World,,,,,,, shida y'a marehemu alikuwa namdomo sana,,,,, zitto ufufue n'a île issue y'a 1.5trl afu mkiwashe kama île y'a escroww,,,,, mataga wapoteane
 
RIP hakika viongozi wajao wapite kwenye yale mazuri aliyoyaanzisha Magufuli na waachane na yale yaliyokua yana kwaza hakika taifa litashamiri.
 
Zitto kwa kifupi tu kuwa rais Magufuli alitambua mkono wako wa pili jinsi ulivyopendezewa na fedha, zawadi na ahadi za wezi, waporaji na watumishi wa umma wasiokuwa waaminifu.

Zama hizo Zitto ulikuwa unapiga kelele bungeni lakini ulikuwa unanunulika. Rais Magufuli hakuwahi kupendezwa na ndumilakuwili kama Zitto Zuberi Kabwe.

Zitto unaupeo wa kujenga hoja na kulielezea jambo kwa umakini wake. Lakini unasumbuliwa na tamaa zako, si mkweli, hauaminiki, una bei ambayo ni rahisi kununulika.

Wakati unajaribu kujibaraguza na kuelezea mapungufu ya mwenzako. Ebu jitafakari wewe na mchango wako katika taifa hili. Zitto hauminiki si tu kwa mtu makini kama rais Magufuli bali ni kwa kiwango kikubwa cha watanzania.

Wakati rais Magufuli aliyagusa maisha ya watanzania wengi maskini na wanyonge. Wewe ulijigeuza kuwa kuwadi wa mabeberu na wanyonyaji. Kisa tu haukuwa tena na access ya kupatiwa fedha toka mashirika ya umma, taasisi na wafanyabiashara uliokuwa unawalinda kupitia kamati ya bunge ambayo ulipewa zawadi ya kuiingoza na awamu ya nne.

SI MAGUFULI TU HATA SISI WATANZANIA WA KAWAIDA HATUNA IMANI NA WEWE ZITTO.
 
Kumbe kuna 'wengine'. mlikuwa mnapigiwa simu kujuliwa hali, huku wengine wakipigwa stop kumuombea yule aliyechapwa risasi 16+, na kunyimwa stahiki zake.
Ndio uujue unafiki wa kijana ZITTO KABWE huyu jamaa ni zaidi ya nyoka mwenye vichwa vitatu.
 
Safi sn Mh Zitto...... Andiko lililoshiba haswaaa na lenye uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…