Zitto Kabwe, kwanini hauchambui upungufu wa Dola Tanzania?

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,282
Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake.

Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola hali iliyopelekea wafanyabiashara kuonekana wakihaha huku na huku kutafuta Dola kila wanapotaka kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini Zito Kabwe yuko kimya kabisaa kana kwamba mambo n shwari mno.

Watu wanajiuliza Zito Kabwe amepatwa na nini?
 
Huyo ni mateka,anakula kiulaini awamu hii,ile awamu ya mzilankende alikuwa hawarambishi asali ,ndio maana kelele zilizidi
Hakuna mtu aliyekuwa anatamani kumnunua kila mtu kama huyo mtu wenu mnayemwita Mzliakende. Alikuwa anapenda sana kila goti lipigwe.

Zitto ni mtu wa CCM toka "Day one" anatoka CHADEMA.
 
Kuna mwenzagu katika Imani, huyo siwezi kumgusa.
 
ZITTO NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] usipoteze muda wako bure
 
JacksonDubai! Wewe ni pimbi kweli! Kwanini huchambui wewe hadi umtegemee huyo Zito Kabwe! Acha wehu wako pia wewe una hilo jukumu kwa kuwa umeliona! Mjinga kabisa nyangau wewe!
 
JacksonDubai! Wewe ni pimbi kweli! Kwanini huchambui wewe hadi umtegemee huyo Zito Kabwe! Acha wehu wako pia wewe una hilo jukumu kwa kuwa umeliona! Mjinga kabisa nyangau wewe!
Anajisifu ni mchumi mbobevu
 
Zito Kabwe alisifika Kwa kuchambua hata Magufuli anavyotembea lakini Sasa yupo kimya
Haa unachasema ni kweli kabisa yaan ilikua hata dollar ikipanda kwa sent 10 .anakuja mbio mbio mbele ya waandish wa habari na kusema fedha yatu imeshuka thamani sana
 
Haa unachasema ni kweli kabisa yaan ilikua hata dollar ikipanda kwa sent 10 .anakuja mbio mbio mbele ya waandish wa habari na kusema fedha yatu imeshuka thamani sana

BoT: Hifadhi za Fedha za Kigeni yashuka kwa Asilimia 11, Serikali yawatoa hofu wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…