Akiba za kigeni za Tanzania zimepungua kwa dola milioni 600 (sawa na takriban trilioni 1.4 za Kitanzania) katika kipindi cha mwaka uliopita, lakini serikali inasema hakuna sababu ya kuhangaika na mustakabali uko wazi. Kwenye taarifa yake ya hivi karibuni, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) inasema...