beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kupiga kura leo.
Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi waende kupiga kura kuchagua Viongozi wao na kuleta mabadiliko.
Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi waende kupiga kura kuchagua Viongozi wao na kuleta mabadiliko.