beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Oct 28, 2020 #1 Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kupiga kura leo. Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi waende kupiga kura kuchagua Viongozi wao na kuleta mabadiliko.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kupiga kura leo. Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi waende kupiga kura kuchagua Viongozi wao na kuleta mabadiliko.
M Makuti Malubu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 363 Reaction score 190 Oct 28, 2020 #2 HATIMA YA KESHO NA MALALAMIKO/MACHUNGU KILA MTU AMEKUTANA NAYO. TUPIGE KURA ZETU KUYAONDOA NA KUJILETEA UNAFUU WA KESHO YETU. EE MUNGU TUSAIDIE
HATIMA YA KESHO NA MALALAMIKO/MACHUNGU KILA MTU AMEKUTANA NAYO. TUPIGE KURA ZETU KUYAONDOA NA KUJILETEA UNAFUU WA KESHO YETU. EE MUNGU TUSAIDIE