Zitto Kabwe: Maafisa usalama wa taifa wanalaumiwa kwa mambo mabaya. Wanaua , wanateka watu na kutesa watu

Zitto Kabwe: Maafisa usalama wa taifa wanalaumiwa kwa mambo mabaya. Wanaua , wanateka watu na kutesa watu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20230601-204152.jpg
 
Zitto akinyamaza analaumiwa kunyamaza...akiongea analaumiwa kuongea....
Ngoja misukule ije kumtukana hapa
Imagine mtu Kama Sabaya ambaye kabla ya kuwa DCs aliwahi kusikika kuwa ni memba wa maafisa vipepeo.

Mtu kama yule asithibitiwe na Sheri inampa kinga

This is Tragedy comrades.
 
Ninasikitika sana kuona kwamba Watanzania wamelichukulia jambo hili kirahisi sana, wakidhani kwamba ni Jambo la mchezo mchezo tu. Tambueni ya kwamba, Sheria hii inahusu suala la kuua watu au kuua raia hasa Watanzania ambao TISS inaona kwamba ni kikwazo kwao. Watanzania tambueni kwamba Kinga inayozungumzwa hapa inahusika na wewe binadsi (mtu mmoja mmoja ) uuliwe na Kisha mtu aliyekuua asibughuziwe au kusumbuliwa kwa namna yoyote ile, na ikiwezekana huyo mtu aliyekuua apewe sifa(apongezwe) kwa kufanikishahiyo kazi ya kukuua. Na ikiwezekana alipwe pesa nyingi zaidi, apewe cheo kikubwa zaidi (kama ilivyofanyika kwa yule aliyemteka na kumng'oa meno Dr. Ulimboka) ambaye sasa hivi yupo kule Mjengoni Dodoma. Je, Watanzania mmeshajiandaa kwa hayo?? Mmeshajiandaa vya kutosha kushuhudia tena kuviona viroba vingi vyenye maiti za watu baharini, mitoni, kando ya barabara, ufukweni, nk.?Je, mmeshajiandaa kwa matukio mabaya kama haya kujirudia tena kwa kasi ya kutisha????????
 
Back
Top Bottom