technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.
Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.