technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hilo sio kweli mkuu, Kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi,
kwa sababu ZITTO kawa JEPESI Sana now days hatutishiKila kitu anachozusha zitto serikali uwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, Kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule kigoma, na mambo mengine kibao ila walipo sema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu!
Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005 je hoja zake uwa ni za kwel?i au serikali uwa inamuogopa? angalia alivyokuwa akishare taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miaezi 3!
Urongo. Kamfanyia nini Musiba? Sijaona watu wakila pilau kwa Musiba. Kifupi ogopa 'people's power'Kila wakikumbuka kile Zitto alichomfanyia Mudhihiri Mudhihiri wanaogopa bila kumsahau mama Salome Mbatia!
, kuuwawa na kuzikwa watu kule kigoma, na mambo mengine kibao ila walipo sema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu!
Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005 je hoja zake uwa ni za kwel?i au serikali uwa inamuogopa? angalia alivyokuwa akishare taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miaezi 3!
Kwani Zitto hakumkomesha Musiba? hahahahahah, mbona nasikia Musiba Mgambilwa ni mntu anajikuna tu muda woteUrongo. Kamfanyia nini Musiba? Sijaona watu wakila pilau kwa Musiba.
Zito hajafanya uchochezi anaongeaga ukweli isitoshe Zito sio tishio. Ogopa kitu inaitwa CHADEMA. Mtu kachukua form huko usukumani leo yuko mahabusu. Just imagine kuchukua form tu. Kuna wakuu wa mikoa wakisikia CHADEMA wahashikwa na matumbo ya kuharisha. Wakuu wa wilaya ndio usiseme. Nenda Hai uone, mpaka mimea inayomwagiliwa inafuatwa.
People's power.
Kuna ushahidi wowote mbona kwenye zile press conference huwa hakuni hata ule mkichwa wakeKwani Zitto hakumkomesha Musiba? hahahahahah, mbona nasikia Musiba Mgambilwa ni mntu anajikuna tu muda wote
πππππππππππππ
Kua na kesi na kukaa ndani ni vitu viwili tofauti ...hua anakuja na makabrasha yake muda ukiisha wa kesi anaondoka kwenda kuendelea na shuhuli zake zingine.Mbona Kila Siku Ana Kesi Mahakamani Au Kesi Zake Ni Za Nini ?
Umetafakari vizuri tu!!! Binafsi zitto naona kama janja janja tuKila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.
Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.
Tundu Lissu Yeye Alishawahi Kukaa Siku 10 ?Kua na kesi na kukaa ndani ni vitu viwili tofauti ...hua anakuja na makabrasha yake muda ukiisha wa kesi anaondoka kwenda kuendelea na shuhuli zake zingine.
Haujakatazwa kumkamata wewe, kamata sokomeza ndani, akija mtu kumdhamini kamata sokomeza ndani na akija mkewe kumletea chakula naye kamata na hotipoti zake sokomeza ndani.Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu.
Jamaa hajawai kukaa ndani hata siku 10 toka ameanza siasa mwaka 2005. Je, hoja zake huwa ni za kweli au serikali huwa inamuogopa? Angalia alivyokuwa aki-share taarifa za kifo cha Magufuli ila Lema alitoa tu maono na akawekwa ndani karibia miezi 3.