Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Ndio maana tunashindwa kubaini sera zao. Wanaacha kujitangaza wanatangaza masuala ya mpinzani wao. Lini wataanza kujipambanua kisiasa? Tutasubiri sana!
 
Duuu , hapo kwenye # iv. Wakuu wa Mashirika ya Umma, na haswa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).........................
 
Nadhani kajichanganya sana!
 
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?

Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti

Unataka uambiwe na nani sasa?

Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Zitto ni msomi wa wapi?
Mjanja mjanja mmoja hivi
 
Tulijichanganya kidogo pale Morogoro kulipa soko jina la muabudu mzimu wa mvua. Tuombe Toba, Neema na Rehema ya Mungu sasa. DSM mvua mwaka huu inatafutwa kwa tochi. Wiki ya 3 ya mwezi wa3 jua kama Yemeni.
 
Rais watanzania anatakiwa kuwa wapi?
Rais wa Tanzania anaweza (hatakiwi) kuwa popote nchini au Duniani lakini Wananchi wake wanatakiwa wajue yuko wapi na kwa madhumuni gani ya safari yake, inaweza kuwa amekwenda kikazi, Mikutano, Matibabu hata Likizo. Rais akienda Mikoa ya Kusini, kutembelea India au Marekani anakuwa amekwenda kikazi na wananchi watakuwa wanajua hata kabla ya kuondoka na atarudi lini. Mfugaji wa Kisukuma hajui hata kusoma na kuandika lakini kila asubuhi anahesabu mifugo yake inayokwenda machungani na kuelekeza wapi ikachungwe na jioni ikirudi atahesabu tena kuhakiki wote wamerudi salama na akipungua mmoja wachungaji watakuwa matatani. Wasomi (CCM hawapo) watakumbuka Vita ya Kwanza ya Dunia ilianza baada ya Mwanamfalme kuuawa katika nchi ya kigeni kwa hiyo Ujerumani ikaona ni nchi ile ndo imeua mtu wao mashughuri na vita ikaanza kati ya nchi hizo mbili na kuenea Dunia nzima mpaka babu zetu wengi walikufa vitani. Watanzania wa Dar es Salaam watakumbuka Rais Obama wa Marekani alipokuja nchini mpaka barabara za mitaa zilipigwa deki ili hata sindano iliyotupwa na Wakazi wa Jiji isije ikamjeruhi kusababisha mgogoro kati ya nchi zetu mbili. Wanajeshi walipoasi na kutaka kupindua nchi, wananchi kwa kuwa walijua Rais Mwalimu Nyerere yuko wapi, walimchukua bila watu kujua na kumpeleka Kigamboni na kumficha nyumbani kwa Mkulima ambako aliweza kuwasiliana kupata msaada. Rais wetu ni zaidi ya wale mifugo wa yule mfugaji!
 
Naam!
 
Ushauri wako ni mzuri sana!
 
Kwanini usiweke kifungu cha katiba kilichovunjwa?

Kwanini usiweke kifungu cha katiba kilichovunjwa?
Vifungu ulivyowekewa na zitto huvitaki au?
Mwajiri ana haki ya:
_kujua alipo mwajiriwa
_kujua anachofanya mwariwa
_kujua afya ya mwajiriwa Kama yupo fiti kikazi ama la.
.....na hiyo Ni sheria Tena KATIBA ya nchi, si hiari
 
Kwani ni nani aliesema Rais anaumwa? Hao waliosema anaumwa ndo wanatakiwa wathibitishe kauli zao.
Katiba haisemi hivyo. Katiba inasema panapokuwa na shaka kuwa Rais anaumwa kwa kias ambacho hawez kutekeleza majukumu yake Basi ugonjwa huo utay
utahibitishwa na jopo la madaktari kwa utaratibu uliowekwa kikatiba
 
Sasa mbwembwe za kuwa na makamo wa kwanza wa Rais ndiyo ile kumshauri tu Rais wa Zanzibar?
Unaweza ukawa rahisi mengine makubwa usiyaone ndomana ilifikiwa hapo ,kwani ccm inaweza ikawa na washauri woga wasikwambie ukweli,upande wapili ukakusaidia.mfano corona IPO unasema haipo mwisho wasiku inakukamata na kukufundisha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…