Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Punguza hasira ndugu
 
ZZK Kasema wazi Rais anaumwa, lengo hapa ni haiko wazi kwa nn VP isiwe wazi kwa umma kwamba ndiye anayeiongoza nchi!!! Na hakuna official info kutoka kwa authority kuhusu hali ya Rais kwenda kwa wananchi...
Ikifika usiku wa Leo zitto hajakamatwa kwa uzushi nitapigia mstari maneno ya Zitto
 
Hili ni swala la msingi sana!! ACT wamemaanisha nini kwa kutoa tahadhari kwa BOT?!
 
Taharuki haipo kwa wananchi bali umbea wa ninyi wanasiasa ndo mmekuwa na kiherehere cha kuhoji Rais yuko wapi. Isitishe kwani Rais kutimiza majukumu yake hadi aonekane kwenye nyumba za ibada? Kama ndo uwezo wa kufikiri wa ninyi wanasiasa wetu, basi bado tunayo safari ndefu ya kuyafikia mafanikio. Imekuwa kila ukiingia mitandaoni issue in Rais Rais Rais mkiongozwa na mbea mkuu Lissu.
 
Kama wewe Zitto na mkeo ndio mmmejaa wasiwasi na mashaka sawa. Watanzania wengine tunajua Rais wetu yupo IMARA na hatuna wasiwasi. Tupo kwa Mkapa Stadium tunaua kimyakimya!!!!!
 
Ishu siyo kumpenda Wala kutokumpenda...ishu Ni katiba ya nchi.

Katiba imefanyaje. Unaijua ratiba ya Rais. Amekwambia anaumwa. Je mliposema kaenda Ujerumani na wakati yupo Dar hiyo katiba ilikuwa inasemaje. Mmepoteza credibility kwa kuwa hamna nia njema. So msianze kusingizia katiba. Nani kawaambia Rais hafanyi kazi zake. Zitto umeandika ujinga kabisa.
 
Wajinga mko wengi sana kwahiyo wee ukishaambiwa basi imetosha hutaki hata kusumbua akili yako kujilidhisha

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo akisema Makamo rais na waziri mkuu ndio unafikicha akili ila wakisema wale wahuni wa ubelgiji waliojazana kule twiter ndio hufikichi hata akili?

Huoni kama unahitaji msaada wa maombi?
 
Hili povu unamtolea nani sasa hapa?

Nlikutuma ushabikie uhuni?
 
Acha ujinga kijana! Tanzania yote inayojadili iko hapo ufipa?

Watu huku mitaani wanaendelea na shughuli zao ila nyie wahuni ndio mko huko mnajazana ujinga!

Unaandika maneno mengi kumbe ujinga tu!
 
Mwanafalsafa? My foot,!

Kwahiyo huyo mhuni wenu kasema rais yuko Nairobi mara India mara China mara mzena hospital mara ujeruman haya twambie wewe mwanafalsafa yuko wapi katika hizo sehemu?
 
Hapana huo ni ushahidi kuwa serikali inatudanganya! Ivi wewe kwa akili yako uliyonayo ni kwa nini unahisi Rais anashindwa kutoa official statement kwa wananchi wake ili kumaliza uvumi huu na kuondoa wasi wasi uliopo nchi nzima?
Wananchi wapi? Nioneshe wananchi wanaotaka rais aje atoe statement,
 
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?

Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti

Unataka uambiwe na nani sasa?

Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Kuuliza Hali ya raisi ni upumbavu?
Shuleni ulienda kufanya Nini Sasa,kusomea ujinga?
 
Inabidi hawa akina Lissu ndio watuambie rais yupo wapi maana mara yupo Kenya mara India mara tena kafa,maana inaonesha wao ndio wanajua rais alipo ila wanatoa kauli zenye kutuchanganya.
 
Mwanafalsafa? My foot,!

Kwahiyo huyo mhuni wenu kasema rais yuko Nairobi mara India mara China mara mzena hospital mara ujeruman haya twambie wewe mwanafalsafa yuko wapi katika hizo sehemu?
India yuko mahututi tena Apollo Hosp.nenda tu kamuone!!!

Acha hasira uingie India vizuri.ukienda kule na mahasira haya watajua tu huyu!!! Tayari corona inamusumbua utawekwa wardin mpaka ulie poo!!
 
Kuuliza Hali ya raisi ni upumbavu?
Shuleni ulienda kufanya Nini Sasa,kusomea ujinga?
Ni upumbavu!

Maana makamu rais kasema rais anaendelea na majukumu yake..

Waziri mkuu kasema rais ni mzima wa afya..


Wewe unakazimisha waseme anaumwa huo sio upumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…