Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Inabidi hawa akina Lissu ndio watuambie rais yupo wapi maana mara yupo Kenya mara India mara tena kafa,maana inaonesha wao ndio wanajua rais alipo ila wanatoa kauli zenye kutuchanganya.
Anaumwa. Anaumwa sana.
 
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?

Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti

Unataka uambiwe na nani sasa?

Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Kwa hiyo wewe kila utakachoambiwa na mama Samia au Kasim huwezi kuhoji? Kwa taarifa yako anachohoji Zitto ni kwa sababu ya huo huo usomi wake. Hata mimi niliyeishia darasa la saba kwa zile kauli za Makamu wa Rais lazima nihoji.
 
Kwa hiyo mmeshindwa kumfuata huko aliko?
 
Viongozi wa serikali mtufahamishe kinagaubaga hali ya riasi wetu mpendwa kwa ushahidi usiotia mashaka.
Hapo BOT, hapo HAZINA chonde chonde jamani TUPO MACHO
 
ZZK Ruyagwa you are falsely emarking on a murky battle which destination shall capture you into a roguely setup trap, thoroughly ruminate and test the risk matrix ahead.......................I supposedly placed the card to uncode the data.
 
Aisee,
Hao ndio panya masnich wa taifa.
Hata kama anaumwa so what?
Hivi wewe bwege Zitto leo umjali Rais huyu huyu unaemletea sababu mbaya daily.
Mpka ukafika US na kupeleka umbea tu tunyimwe misaada, mpuuzi sana wewe.
Ndio anaweza kuumwa na akaona ana akaendelea na majukumu yake.
We endelea kukomaa na Membe na Maalim Seif kama yupo.
Rais wetu mpumzishe,na hiyo ruzuku utayopata safari hii ufanye kufwata masharti kutumia.
Utajua hujui soon.
 
Wewe huna tofauti yoyote na maiti. Unasubiri tu kuzikwa, vinginevyo unaleta adha tu hata pasipohitajika.
Unapanic nini sasa?

Kwani mimi nilikutuma uwe unawasikiliza hao wahuni
 
Hivi Nchi nayo huwa ina button ya Autopilot?
Napenda kujuzwa
 
Viongozi wa serikali mtufahamishe kinagaubaga hali ya riasi wetu mpendwa kwa ushahidi usiotia mashaka.
Hapo BOT, hapo HAZINA chonde chonde jamani TUPO MACHO
Haaa haaaa! Usipepese macho, hawakawii hao.
 
Politicians are envil , don't trust them
 
Zitto kama Kiongozi wa Chama anayo haki na jukwaa la kusema na kuhoji uwepo wa Rais. Pili, nakumbuka ACT walivyotoa habari za ukweli kuhusu afya ya Maalim Seif. Zitto anavyanzo vya uhakika Serikalini.

Hata hivyo naona suala la Akiba ya Fedha za Kigeni na Dhahabu huko BoT ndio kiini cha andiko hili. Mengine yoooote hayo ni ku-justify hoja lakini lengo ni BoT kunadaiwa Kuna mashindano ya ukwapuaji. Ahsante Zitto. Tumuombee Rais afya njema akirudi kutoka Rubondo Island mapumzikoni watazinya.
 
Yaani wahuni ni wengi nchi hii na wangeni wapo ughaibuni ni kuropoka tuu.
 
Unapanic nini sasa?

Kwani mimi nilikutuma uwe unawasikiliza hao wahuni
Unalazimisha kujibishana nami.

Sina lolote la maana ninaloweza kufaidika nalo kutokana na michango yako humu.

Kwa hiyo nenda kafilie mbali.
 
Unalazimisha kujibishana nami.

Sina lolote la maana ninaloweza kufaidika nalo kutokana na michango yako humu.

Kwa hiyo nenda kafilie mbali.
Kwenye Twitter ya gazeti la Daily Nation wameandika breaking news kuwa kuna wanasiasa watatu wa upinzani wameomba hifadhi ya kisiasa Kenya leo. Ni wanani hao? Kwa yoyote anayejua.
 
Acha blah blah nyingi Raisi yuko wapi?
Kwenye Twitter ya gazeti la Daily Nation wameandika breaking news kuwa kuna wanasiasa watatu wa upinzani wameomba hifadhi ya kisiasa Kenya leo. Ni wanani hao? Kwa yoyote anayejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…