Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Msipotuambia tunampango wa kwenda mahakamani kuiomba ili watanzania wote kwa pamoja tuanze kumsaka popote alipo - maana yeye ndiye tulimchagua awe kiongozi wetu sasa kwa nini mumfiche?

????????

Au Rais wetu ametekwa na watu wasiojulikana🤔🤔🤔🤔
 
Tabia mbaya kama hizi hazilisaidii Taifa ..ng'we ng'we kibao kujifanya sheria wajua sana..hujalala usiku kucha unatafuta vipengele ili upate sifa zisizoweza kumsaidia Mtanzania..Mh.Rais sisi Watanzania wazalendo tunaendelea kuchapa kazi kadri ulivyoagiza..
Gloria Patri et Filii et Spiritus Sancti..
God Bless Tanzania.
 
Hivi kweli hayo mashindano yanaweza kutokea na IGP asifahamu kinachoendelea?
Maana kwa ufahamu wangu kazi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na mali zao, sasa hio dhahabu na hayo madolare ni mali ya nani?
 
Au Raisi wetu ametekwa na watu wasiojulikana🤔🤔🤔🤔
Kuna ile kauli Lissu aliitoa "wakishatumaliza sisi watarudi kuwamaliza ninyi" something like that
Newton's third law of motion
 
Hivi kweli hayo mashindano yanaweza kutokea na IGP asifahamu kinachoendelea?
Maana kwa ufahamu wangu kazi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na mali zao, sasa hio dhahabu na hayo madolare ni mali ya nani?
Serikali
 
Wachuro utawajua tu, Zitto ni mmojawapo na Mbelgiji mwenzake ambaye ndie kaanzisha uvumi.
 
ISS wanasemaje juu ya Rais kutoonekana hadharani kwa kupindi cha wiki mbili? Na kesi za kuibiwa kura bado hazijaanza kusikilizwa huko Usuisse au mnazipeleka mahakamu kuu ya KENYA? Mnatuchanganya kwa kutusubirisha vitu vingi na sasa mnamtafuta rais kwa quotes nyingi za katiba ambayo siku zote mnaikataa na hivi kwenye huo upuuzi wa katiba hakuna ukomo wa muda wa rais kuwa mgonjwa au kutoonekana hadharani ili aondolewe madarakani? MTACHONGA NA KUSUBIRI SANA BUT BELIEVE ME AND NOTE IT IN CAPITAL LETTERS IN RED INK THAT IT WILL NEVER HAPPEN NO MATTER HOW MUCH EFFORTS YOU ALL HUNGRY FACES PUT TOGETHER TO SMEAR AND TANISH THE IMAGE OF TZ EVEN WITH THE HELP OF THE KENYANS AND GERMANS YOU GET WE ARE TOUGH IN TZ ELEWENI HIVYO NA MUWAAMBIE WAFADHILI WENU.
 
Wachuro utawajua tu,Zitto ni mmojawapo na Mbelgiji mwenzake,ambaye ndie kaanzisha uvumi.
Kumlaumu Mungu mara ngingi ni kufuru ila kwa hili ngoja nikufuru kwa kesema Mungu alitukosea kwa kutuletea hawa
 
Ndio maana tunashindwa kubaini sera zao. Wanaacha kujitangaza wanatangaza masuala ya mpinzani wao. Lini wataanza kujipambanua kisiasa? Tutasubiri sana!
Jamaa wa DW wanakuitaga mchambuzi kumbe hamna kitu kabisa watu wanamuulizia Rais sio Magufuli urais ni zaidi ya Magufuli...hata kama watu hatukumchagua nec ambao ndio wenye mamlaka kwa Katiba hii mbovu ndio wamemtangaza kuwa Rais so ana dhamana ya Nchi sio kikundi cha wajinga wanaodhani urais ni hatimiliki ya Magufuli ni ujinga! hakuna mtu anaeweza kufanya kazi ya Rais bila kupewa mamlaka kisheria Samia hawezi kufanya maamuzi yoyote ya urais japo yeye ni makamu so muwe mnaondoa utando wa ujinga kwa vitu vidogo hivi...Nchi ikiporwa au kuvamiwa Rais ndio atawajibika so wanaotaka kujua Rais yuko wapi ni kwa maslahi mapana ya Nchi kama afya imekuwa mbovu wasaidizi wapewe mamlaka kisheria yakufanya kazi ya Rais jielimisheni

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kweli hayo mashindano yanaweza kutokea na IGP asifahamu kinachoendelea?
Maana kwa ufahamu wangu kazi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na mali zao, sasa hio dhahabu na hayo madolare ni mali ya nani?
Naww unaamini huu ujinga kwamba Polis wanalinda Raia na mali zao

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mtateseka sana

Kama unataka kujua nani anaongoza, we tukana tu utaiona serikali

Kama vile hamna kazi ya kufanya, kutwa Rais yupo wapi? Kwani mmeambiwa kuna kitu kimekwama!
Kwani katiba imesema lazima kitu kikwame ndo ijulikane Rais alipo? Au ni lazma mambo yakwame kwanza ndo Makamu wa rais ashike hatamu hata kama rais ni mgonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…