Zitto Kabwe ni defacto Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo

ACT in Zitto na Zitto ni ACT
 
ACT Wazalendo kwa sasa kila Kitu kinafanyikia Zanzibar chini ya Uongozi wa OMO
 
Nilicheka wakati Zito anahamia ACT alikuwa anajifanya kahamia ili kuua soo zile tuhuma zilizosemekana alianzisha chama akiwa cdm. Baadaye akaanza kujisahau na kusema yeye na wenzake walijitoa muhanga kuanzisha hiyo ACT!
 
Mods, rekebisha kwentye heading ni de facto, tengenisha...typo err
 
Da mahaba ya chama,aongee chadema habari ya utekaji na watu kupotea,harafu inaonekana sauti ya ZZK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…