Zitto anajitambua siyo kama LissuWewe wasema siyo mgombea Urais wako, anaongea upuuzi wa kushawishi NEC wamuengue TAL.
rubbish!Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu kuwa watanzania hatugawiki Kama mnavyodhani hata kama mkichochea namna gani.
Anatafuta covarage huyu baada ya kuona chama chake hakisikiki....habari ya mjini ni chama kubwa CCM na kazi safi ya uteuzi wa wagombeaKama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko.
Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate?
Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu kuwa watanzania hatugawiki Kama mnavyodhani hata kama mkichochea namna gani.
View attachment 1544916
View attachment 1544917
Kumbe Kuna media Tanzania?Matokeo ya kura za maoni ya CCM yamevuraga attention yote ya wananchi kwa upinzani mpaka sasa media na social media zote zipo busy na wagombea wa CCM. Wapinzani wanajaribu kurudi kwenue peak na matamko ya ajabu ajabu.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app