Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia.
Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi.
Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana.
Zitto kabwe alikuwa na uwezo wa kung'ang'ania madaraka kwa kuwa ni muasisi ama angeweka ndugu zake tu kwenye madaraka makubwa lakini aliamua kustaafu kwa heshima.
Kitu kama hicho CHADEMA hawakiwezi, CUF hawakiwezi, TLP hawakiwezi na NCCR Mageuzi wamelazimishwa kwa nguvu.
Nampongeza zitto kabwe mdogo wangu na kijana wa kisasa model leader namuomba anipokee kesho nitafika makao makuu ya chama kuchukua kadi yangu ya uanachama na kujiunga rasmi na ACT Wazalendo.