the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Zitto Kabwe amesema kuwa ofisi ya mtaa ni ya raia wote, baada ya kukuta CCM wamejenga Jiwe la Umoja wa Vijana CCM mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa ya Bujimile, kata ya Nyamhongolo huko Ilemela.
Zitto amewaagiza viongozi wa ACT wazalendo katika kata hiyo kujenga na wao ngome yao kando ya kijiwe hiko.
Hii ndiyo kuita ubaya ubwela?
Zitto amewaagiza viongozi wa ACT wazalendo katika kata hiyo kujenga na wao ngome yao kando ya kijiwe hiko.
Hii ndiyo kuita ubaya ubwela?