Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Labda raisi wa matapeli; snitch, mchawi, mdini“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema
Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani milele, akisema kuwa muda wake umekwisha, na kwamba mfumo wa kidemokrasia unaruhusu mabadiliko ya mamlaka kwa njia ya kura.
Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara katika Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma,
Muislamu awezi kumiliki akili“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema
Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani milele, akisema kuwa muda wake umekwisha, na kwamba mfumo wa kidemokrasia unaruhusu mabadiliko ya mamlaka kwa njia ya kura.
Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara katika Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma,
Ni maigizo tu angetaka awekwe ndani angemgusa mkuu mwenyewe sio haoAtaanza kuwekwa lock up na kuwekewa kauzibe kwenye mikutano yake, naona amesifiwa kwa mbio kapitiliza mpaka kwao.
Labda akashindane na Mwamedi kwenye urais wa Makolo, Madunduka“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema