GE2025 Zitto Kabwe: Polisi tendeni haki, mimi ndiye Rais ajaye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Labda rais wa kitaa.
 
Huyu zito nae amekuaje kweny ubongo wake!!
 
😆😆😆😆
 
Hoja ya Zitto ina mashiko. Polisi, Magereza, Mahakama, Usalama wa taifa na vyombo vingine vya serikali, fanyeni kazi zenu kwa kuzingatia sheria na haki

Hivi ikitokea, kwa mfano, Lissu kesho akawa rais, ofisa magereza aliyeamuru, kinyume na sheria, Lissu kuwekwa kwenye vyumba vya wafungwa wanaosubiri kunyongwa atakuwa na hali gani?

Ipo siku hawa tunaoambiwa hawajulikani watajulikana
 
Ukimjadilia zitto Kama zitto hauwezi ukaona Ukubwa wa Point Yake Ila kaongea Mambo ya msingi.

Mambo hubadilika -Police wanabidi kulifahamu hilo
 
Zito kaongea bonge la point, ila kwa kuwa ni muislam basi baadhi ya wagalatia wanamponda na kuponda hoja yake,

Hoja hii hii ingesemwa na lisu au heche au mgalatia yeyote wangeiunga mkono na miguu

Ajabu ya wachadema wanaolaumu polisi kila uchao leo wanapinga hoja ya polisi kulaumiwa kisa tu aliyesema ni muislam ingawa ni mpinzani,

Yaani wanataka kutuaminisha kwamba wapinzani ni wagalatia peke yao? Hapa ndipo hujengeka chuki na kujitenga kwa namna ya kipekee ya ubaguzi
 
Ataanza kuwekwa lock up na kuwekewa kauzibe kwenye mikutano yake, naona amesifiwa kwa mbio kapitiliza mpaka kwao.
Huyu ni kobazi. Hata atukane vipi hatafanywa lo lote!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mwendazake Membe aione kwenye faili.
 

Attachments

  • VID-20250424-WA0001.mp4
    784.9 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…