M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji.
Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma yake ifikiwe. Vyama vya siasa na taasisi huru zianze mikakati mapema maana 2020 yenyewe ndiyo hii.
CC Zitto, John Mnyika, nk, nk