Kwani Zitto kakosea wapi kwenye hili?ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Lolote? Ok!kuna uchaguzi October 2020 na lolote laweza kutokea katika uchaguzi!
Alishatoa introduction kwa mudhihirHivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
kwani Zitto kakosea wapi kwenye hili?
uchaguzi upo October 2020 na lolote linaweza kutokea ukizingatia huku ndani ya CCM yetu kuna mpasuko wa kufa mtu.... ninyi mlioko huko nje hamjui tu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Alishatoa introduction kwa mudhihir
Hiyo haiondoi ukweli wa kauli yake. Its true JPM hizi ni sherehe zake za mwisho kama presidaa.ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Hspo amekosea nini? Kwani kumtoa MTU kwa uchaguzi ni kosa? Acheni kuwatia watu woga kuwa kufikiri kumuondoa mtumishi mliyemuajiri ni kosa!Hivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Mwenzio alishawaomba hadi wazee wa ujiji wamsaidie, wakampuuza. Ujiji leo barabara za lami na mataa kila kona. Watakuelewa.Zitto; hebu mloge huyo mshamba. Kama vipi sema tukuchangie.
Sio lolote linaweza kutokea, anaondoka na yeye anajua.kuna uchaguzi October 2020 na lolote laweza kutokea katika uchaguzi!