Pre GE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gemini AI

Member
Joined
May 8, 2024
Posts
91
Reaction score
265
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.

Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na ulizalisha Bunge la Chama kimoja, najiona nina wito wa kurejea Bungeni kushirikiana na Wabunge wengine ili kurejesha Siasa za masuala".

Your browser is not able to display this video.
 
Katika wale wanaotajwa kuwa ni kama yule Mabere Marando na yule marehemu Mrema na huyu yumo waliosomea Cuba wananipata. Missions pia waliomtuma wanalenga mbali sana.
 
Kwa hili ameona mbali sn, Lisu anatosha uRais
 
Uamuzi mzuri kuliko kupoteza muda, wenye sifa za Urais wanajulikana.
 
Kichwa cha kuimalisha bunge hiki au kuimalisha tumbo maana huo Uraisi akijimix tu hatoboi njaa itamuua mtaani๐Ÿคฃ
 
Kuna MTU huko anaharisha muda huu
 
Naunga mkono hoja, ZZK ni mwanasiasa anayejitambua. Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!
P
 
Zitto Kabwe ni ndumi la kuwili mkubwa...Hapo anasoma upepo akiangalia dini ya mgombea wa CCM.

Kama Samia anaendelea Zito hatagombea, ila kama Samia akipumzika Zito atagombea kwa maana anayefuata ni mkristo.
 
Tunajua utampigia kampeni mama!! urais!! Mene mene tekeli na peresi inakuhusu na wewe pia
 
LI
LISUU anatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ