Pre GE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo sawa
 
Hakuna habari mpya hapo. Inafahamika kabisa wapinzani wa vyama rafiki na CCM kama hawa ACT-Wazalendo huwa wanasubiri fadhila ya mfadhili wao kupata viti kadhaa vya ubunge.

Huwa wanapeleka majina ya majimbo wanayotaka kisha CCM inawapelekea wagombea wao dhaifu na kuipa maelekezo tume na poliCCM.
 
Reactions: RMC
Tanzania ni nani alowahi kuuota urais akaupata Salim Ahmed Salim? Malichela? Mwandosya, Membe, Lowasa
 
Juy
Huyu kishaahidiwa kupita ubunge. CCM wako tayari kumuachia jimbo.

Zittob huyu aliyeutaka sana urais hadi kupendekeza umri ushushwe ili aweze kugombea enzi hizo alipokuwa hajafikisha miaka 40 inayotakiwa kikatiba ili mtu aweze kugombea, leo hii anasema hagombei! Halafu anawachuuza CHADEMA eti waweke mgombea mmoja. Tunajua kwa kuwa ccm mgombea wake ni wa dini ile zitto hawezi kukubali kugawa kura za waislamu atasubiri mwaka 2030 CCM itakapoweka mgombea wa dini nyingine
 
Nani anampa huo ubunge? Maana anaongea as if huo ubunge nchi hii hnachukua tu kama sahani ya pilau...
 
Kwa jinsi nilivyokuwa nawaamini akina Msigwa huku tukimtukana Zitto. Kumbe huyu anaweza kuwa mpinzani bora zaidi kuliko hao tunaodhani ni wapinzani kweli ndani ya Chadema kumbe wananunuliwa na pesa za mama Abduli
 
Hataki kumpinga "mwenzie katika Imani" kwenye hicho kiti!! Anataka akajipendekeze bungeni apate uwaziri!
Huyu ni msaka tonge lake binafsi na nimbinafsi sn sijawahi kuona akisapoti hata yatima mahali na alipokuwa mwenyekiti wakamati yake bungeni aliacha madudu meengi sana kupita maelezo!! Nadhani alishawishiwa...
 
Binafsi, nampenda Zitto kabwe akiwa bungeni, hata lissu namkubali akiwa bungeni, Nje ya hapo they are not my favorite.
 
Zitto Kabwe ni ndumi la kuwili mkubwa...Hapo anasoma upepo akiangalia dini ya mgombea wa CCM.

Kama Samia anaendelea Zito hatagombea, ila kama Samia akipumzika Zito atagombea kwa maana anayefuata ni mkristo.
Inauma sana kuona watu wanajenga hoja kwa udini karne hii 20.
 
Binafsi, nampenda Zitto kabwe akiwa bungeni, hata lissu namkubali akiwa bungeni, Nje ya hapo they are not my favorite.
Uko sahihi

Sema Zitto Kabwe kajigunfua kuwa ana ji over rate sio presidential material kagundua kaamua ajishushe

Lisu bado ana ji over rate sio watu wana mu over rate ila yeye bado hajajigundua bado kuwa sio presidential material japo yeye bibafsi akilala na kuamka anajiota kuwa ni presidential material
 
Nadhani target ya jamaa ni kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…