Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Inajulikana mtoto wa nyoka ni nyoka tu hawezi kuwa mjusi

Inauma sana pale unapofanya jambo lile lile alifanya kiongozi wa juu yako lakini wewe inaonekana umekosea ila yeye yuko sahihi


Nimeangalia video hii nimegundua mzee Magu ni mnafiki kuliko tunavyofikiria,anasema eti "TATIZO NI UADILIFU duh!!!!UNAINGIA MIKATABA YA MIRADI BILA KUPITISHWA NA BUNGE"

Sasa huyu mzee kafanya mangap pale kwake bila bunge kujua na kupitisha? Anaposema tatizo la viongozi ni uadilifu yeye ana uadilifu gani kwa wananchi?

Mkumbuke hata CAG aliepita kipenzi cha wengi aliwahi kusema kuna pesa haionekani (sio kama imeibiwa) imetumiwa bila maelezo. Kweli dunia sio sawa. Anasema hapendi unafiki lakini yeye ni wa kwanza mana anajifanya anatupenda kumbe anajua kula na kipofu tu.

Nampenda huyu raisi lakini kwa hili mimi mwenyewe siwez kuwa mnafiki, ANAPASWA KUJITATHMINI KWANZA YEYE NDIO VIONGOZI WENGINE WAFUATE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa nguvu ya ikulu katika maamuzi,ni swala la katiba kukaa vibaya..hapo utaona bunge halina nguvu kuzidi Ikulu..Kwahiyo Kangi na wenzake wangeshare ideas zao na Ikulu wakakubaliwa,kusingekua na shida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…