Hilo lipo wazi,wanapiga fix hata siri zao wanaweka hadharani bila kutarajia.Kwa hyo jiwe katupiga fix kama kawaida yake?
[emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana cz si unajua yule ndio chief comedian wa kijani kibichi.
Sent from my xxxx using JamiiForums mobile app
Umeambiwa MoU ilisainiwa nje ya nchi mbona Ufipa ni wagumu sana kuelewa.
Ukiona Tundu Antipas Lisu amekaa kimya ujue kila kitu ni shwari!
mh kichwa kimeniuma sana ,sijaelewa hayo mapichapicha au ni picha tu ? waelewa tujuzane jamaHayo ni maneno ya Director for communications and foreign affairs, John Mrema.[emoji116][emoji116]View attachment 1334229
Sent from my xxxx using JamiiForums mobile app
Hiyo si bango tu na linaweza kuwa printed popote imradi uwe na soft copyKwa hiyo hayo mabango yanayosomeka
"Wizara ya Mambo ya Ndani Nchi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji"Itakuwa kina Andengenye walienda nayo Romania au picha imekuwa edited na kuwekewa hiyo background?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao watu wa keko wanawauzia watanzania tu
hata sijui
Shida yako ni kua una "Matako" Makubwa na unafikiri kwa kutumia hayo;Wapumbavu wote hukimbilia matusi. Sichoki, utaelimika tu. Sasa maelezo kwa level ya pre- kindergaten. Bunge = rais+ wabunge ( pengine mara mbili katika muda wa miaka mitano). Inapokuwa hivyo, rais anaenda bungeni. Mambo yote yanafanyika kibunge, mkuu wa Bunge akiwa ni Spika. Akimaliza kama ni hotuba anaondoka. Rais hajiandikishi kwenye mahudhurio, hayumo kwenye kamati za Bunge wala hachangii lolote ndani ya Bunge.
Hiyo ibara haimpi rais mamlaka ya kutunga sheria wala kupitisha bajeti ya serkali yake. Akifanya hivyo amevunja katiba ya nchi( na si ya mamako). Mambo yote yanayolalamikiwa kayafanya pasipo baraka za Bunge. Hapa sio baraka za ilani ya uchaguzi ya CCM ( M. Njemba) wala za baraza la mawaziri. Hapa ni Bunge tu. Hilo watu wenye akili zetu timamu ndilo tunaongelea. Kama na hapa hujaelewa, basi tena. Kuna mithali: mtwange mpumbavu na mchi kinuni bado atatoka na upumbavu wake! Yarabi.
Ndugu yangu ni maneno tuliozoweshwa kuyaongea kimantiki sio kweli sheria yoyote inaandaliwa unazoziona zinaandaliwa na serikali kupitia Mwanasheria mkuu wa serikali..inapopelekwa bungeni ni kwenda kujadiliwa na kuwapa wabunge nafasi yà kushauri na kuboresha. Na hii ni formality tu ya mifumo ya kisiasa...na kwa ushahid ni kwamba huo mchakato unaoitwa wa kutunga sheria hauwi sheria mpaka Rais asain.Kazi ingine ya bunge ni kutunga sheria. Kwa hiyo Rais anaweza kutunga sheria akiwa kavaa kofia ya bunge halafu akaipitisha akiwa kavaa kofia ya Urais?
You can' t live crooked and think straight! Ujuacho ni matusi tu. Hiyo ibara huielewi hata chembe na maana ya mhimili wa Bunge hujui. Waziri Mkuu na mawaziri wana nafasi yao bungeni. Hiyo ni tofauti na maelezo ya ibara tajwa. Tafuta wajuzi wa katiba wakufafanulie!Shida yako ni kua una "Matako" Makubwa na unafikiri kwa kutumia hayo;
Rais bungeni anawakilishwa na waziri mkuu na mawaziri wa wizara tofauti..bwege wewe unalijua hilo.kila kitu kinachohusu nchi kinaanzia kwa rais na baraza lake...upane wa pili wa bunge ambao ni wabunge kazi yao ni kujadili na kushauri..kwani we huoni bwege..IPO mamlaka kuu.inayojulikana kama "Mamlaka ya Uteuzi",,
Kupeleka bungeni ni formality tu wala hakuna athari yoyote...Soma katiba "Masaburi " wewe maana umekua kama Msumari hufanyi kazi mpaka "Ugongwe",
Unapoambiwa nchi INA mihimili 3 unaelewa nini?You can' t live crooked and think straight! Ujuacho ni matusi tu. Hiyo ibara huielewi hata chembe na maana ya mhimili wa Bunge hujui. Waziri Mkuu na mawaziri wana nafasi yao bungeni. Hiyo ni tofauti na maelezo ya ibara tajwa. Tafuta wajuzi wa katiba wakufafanulie!
Ni kweli. Hata manunuzi ya wabunge wa upinzani pia hayakupitishwa na Bunge.
Watanzania tuache unafiki, tusishangilie hizi double standard.
Ni wazi ubadhirifu na ukiukwaji wa sheria na katiba umetapakaa kila mahali. Waovu ni wengi, muovu mmoja asijione ana haki ya kunyooshea vidole waovu wengine.
Kabla ya kuliangazia hili, tufahamu wigo Wa majukumu ya waziri Wa mambo ya ndani na mamlaka ya raisi na uraisi kama kiongozi Mkuu Wa nchi.
Mkuu Rais anajinyima budget yake ya kula Bata na Trump anatuletea maendeleo, hebu uliza miradi iliyofadhiliwa na kasma 22
Kwa hiyo kutokana na muktadha huo unapendekeza kangi aachiwe?Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
mmmhKwa hiyo kutokana na muktadha huo unapendekeza kangi aachiwe?