johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zitto anamfananisha Waziri na Rais?.......Kwa maana yako ni kuwa taasisi ya urais ndiyo yenye haki ya kuivunja Sheria, katiba na taratibu zilizowekwa? Mbona Kama unajipaka kinyesi badala ya kujiswafi bwashee! Alitakiwa ajiondoe yeye na baraza lake na au timu magu ili kuilinda kisehemu Cha heshima kilichobakishwa kwake!
Unajua maana ya Taasisi au na wewe umekurupushwaRais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kweli Zitto anakurupuka rais ni taasisiRais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Usimlaumu mkuu, hajui maana ya Utawala Bora na utawala wa Sheria piarudi shule mdogo wangu.
Zitto ndio hajui!
Utawala bora haupo duniani bwashee....... Ndio maana Mbowe anatafuna ruzuku ya Chadema apendavyo!Usimlaumu mkuu, hajui maana ya Utawala Bora na utawala wa Sheria pia
Mbowe sio sehemu ya vigezo vya Utawala Bora.Utawala bora haupo duniani bwashee....... Ndio maana Mbowe anatafuna ruzuku ya Chadema apendavyo!
Is Romania the most CORRUPT country in the EU? These political analysts think so.
source:Is Romania the most CORRUPT country in the EU? These political analysts think so
Rais sio Mungu,walla specialZitto, unataka kumlinganisha Rais na waziri, your head should be examined
Kwa nini Romania ambao sio wazuri kwenye electronic equipments nani maarufu kwenye organised crime na corruption.
Pole sana analindwa na katibaRais sio Mungu,walla special
Wewe ameshasema akiviweka hapa atakamatwa, anataka ampe zitto aviweke hadharaniMkuu hebu weka vitu bhana.
Imetengenezwa na wananchi sio msahafuPole sana analindwa na katiba
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge
Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni
Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni
Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE
Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE
Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.
Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.