Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Huyu ni Msenge tu, sijawah mwelewa sijui ni Gongo au Majini yanamsumbua...
Mada zake ukizichimba anasimama kidini zaidi japo anajificha kwenye wingi wa hoja za hovyo.
Wewe ni kopo,dini yake inahusikaje na alichoandika?
 
Kimsingi matatizo yote haya ni sababu ccm haiwezi kutawala nchi zote 2. Kuna uholela mwingi kwenye huu muungano wa shuruti. Ogopa sana muungano ambao watetezi wake wanasema uendelee kuwepo maana ni wa kipekee duniani. Huyo Zito roho ya chama chake Iko Zanzibar, hawezi kuongea chochote nje ya hapo.
 
Zito huwa yuko makini sana, huchagua angel moja muhimu na kuielezea kifasaha sana kwa lugha rahisi, ya busara na ya staha sana.....

sasa sikilizia mamluki wa kibaraka, kwanza watachangamka kidogo, japo watakua wamechanganyikiwa vibaya zaidi πŸ’
Zitto yuko makini kivipi ?

Katika hela inayokusanywa ni percent ngapi inatoka Zanzibar ?

Na ni taasisi gani Zanzibar inayokusanya mapato halafu inaituma Tanganyika ? Itaje.
 
Hapa ndipo uzuzu wao unapoonekana, yaani karume aliyezaliwa Malawi ni sawa ila Mwinyi aliyezaliwa Tanganyika siyo sawa.
 
Shida ya Muungano ni kutokuunga tukawa kama vile tunavyojua maana ya Muungano, badala yake kuacha mianya ya kitu kinaitwa Kero za Muungano, ambazo haziishi hadi kesho. Lakini ukiacha kuwa kweli kwenye swala la mapato Zanzibar Wanapunjwa kwenye Ugavi kuna shida nyingine hii ya Muundo Wa Utawala. Mfano Ivi Leo Hii Mtu Akiulizwa ipo wapi Serikali yaMuungano Tunajibuje? Rais wa aTanganyika Yupo Wapi? Waziri Mkuu Ana Eneo Dogo Sana La Kucheza Kule Znz Na Spika Pia? Bunge la Tanganyika Tukubali Limezikwa Rasmi Lakini Ugonjwa Uliosababisha Kifo Cha Bunge La Muungano Ilikuwaje Baraza la Uwakilishi Lilipata Chanjo? Muungano Mzuri Lakini Tuungano Basi
 
Huyu chenga tu kwanini asioneshe pia wao wanachangia kiasi gani
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
Mbona ameeleza hilo, au mpaka aseme Lisu au Mbowe ndio uamini? Lisu anakujazeni ujinga.
 
Sie hatuzungumzii kijiografia bali tunazungumzia kiupana wa mipaka na kiuzalishaji.
Sijui umeelewa mkuu!?
Tunazungumzia kiutendaji/kiuzalishaji.
Sawa, lete takwimu za mapato za temeke tulinganishe na za Zanzibar kiongozi
 
Swala siyo kupunjwa au kufaidi swala ni kuwa Muungano wenyewe haujakaa vizuri. Muungano huu unaongeza gharama kubwa sana kwa nchi husika, kwa mfano swala la ulinzi ni swala la Muungano analipa nani hayo majeshi na POLISI halafu hapo hapo Zanzibar wanaanzisha Jeshi lingene la Kmkm ambalo ni matumizi maradufu. Huu Muungano unakiwa kuendelea kuchambuliwa sana na ukivunjika Zanzibar uchimi wao utaimarika mara mia kwasabu ni wachache na si watu wa mambo mengi. Zanzibar hakuna rushwa kama huku kiasi kama ni ujenzi au ni ununuzi wa vitu unakwenda straight. Zanzibar uchumi wa Bahari tu unawatosha kuendesha uchumi wake na Chenji ikabaki. Zanzibar kunasadikika kuna akiba kubwa ya mafuta ambayo sisi tunayamezea mate. Muungano unashida unaitajika mjadala wa kiuchumi siyo wakisiasa.
 
KMKM inagharamiwa 100% na Zanzibar.Pili unahoji gharama za kulinda Nchi? Uko serious?

Mwisho unasema nani anachangia gharama za Kulinda Zanzibar mbona husema kuhusu hiyo ya 98% vs 2%?
 
Kwa uchumi,
Kwa Idadi ya watu
Kwa majengo
Kwa elimu
Kwa Miundombinu
Yani hakuna hata kipengele kimoja hapo ambapo Zanziba inaipita Temeke...

Jimbo watu 7,000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kupenda vya dezo tu....
Ndio maana ninakwambia wewe ni mbumbumbu
 
Nani anataka kuvuruga Tanzania zaidi ya nyie Machadema? Harafu Tanzania ikifa nyie Machadema na wale ewajinga mtanufaikaje Sasa?
 
Zitto yuko makini kivipi ?

Katika hela inayokusanywa ni percent ngapi inatoka Zanzibar ?

Na ni taasisi gani Zanzibar inayokusanya mapato halafu inaituma Tanganyika ? Itaje.
haropoki tu kama kibaraka wala hana mihemko πŸ’
 
Kaka unatakiwa utafakari kabla hujaongea.
Kama Zanzibar itaendelea mara dufu muungano ukivunjika mbona Pemba tu haijaendelea!?
Nigeria ni nchi yenye reserve kubwa ya mafuta je imeendelea?
Ghana na Senegal nao ni vile vile je wameendelea!?
Zanzibar ni visiwa vinavyokosa watu wenye weledi na wachapakazi.
Ili nchi iendelee inahitaji nguvu kazi yenye weledi na wachapakazi na waliokua foresighted.
Lakini hiko kitu Wazanzibari hawana,nani atawaendeleza!?
Unadhani mafuta yanajichimba tu yenyewe pasi na kuwa na viongozi wenye kuweka sera nyoofu za kiuchumi!?
Nani kakudanganya uchumi wa buluu peke yake unawatosha!?
MADAGASCAR ilijidanganya vivyo hivyo kuwa na uchumi wa buluu na Madagascar ni miongoni mwa mataifa kumi masikini duniani.
Zanzibar muungano ukivunjika hao waarabu wataihama Zanzibar na kuja bara woooteeee.
Zanzibar hakuna room of adjustment mzee.
Kungekuwepo ungewaona kina Ghalib Said na Said Salim Bakhresa wameshawekeza.
Nenda Unguja na Pemba wengi wao watakwambia "NDOTO ZETU NI KUFIKA BARA TUKAFANYE UWEKEZAJI".
Jiulize kwanini wengi wao husema hivyo!?
Investment ni kitu muhimu ila kwa Zanzibar sio sehem rafiki kwa investment.
Msijidanganye Waarabu wenyewe Zanzibar wanaikimbia wanaona matatizo matupu.
 
What is the poorest country in the world?



Africa
  • Somalia.
  • South Sudan.
  • Sudan.
  • Tanzania.
  • The Gambia.
  • Togo.
  • Uganda.
  • Zambia.
Poorest nations in the world top 30 amongst;
1)Burundi.
2)Malawi.
3)Central African republic.
4)Liberia.
5)Madagascar
6)Mozambique
7)Yemeni
8)Niger
9)Somalia
10)Zambia
11)South Sudan
12)Haiti/Port au Principe
E.t.c
 
Sawa, lete takwimu za mapato za temeke tulinganishe na za Zanzibar kiongozi
Tizama uwiano hapo chini.
Huo ni mfano tu nimechukua mapato ya mwaka fulani na mwaka fulani kote kote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…