Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Kwani Zitto hajui kuwa Muungano ni Tanganyika na sio Zanzibar waliovua Gamba la Tanganyika na kujiita Muungano ni Tanganyika Zanzibar ni Taifa huru. asituletee uongo wa kisiasa kuwa kuna Muungano ndio hao watanganyika anaosema Fatma Karume kuwa hawajitabui
 
Wao Zanzibar wanachangia shilingi ngapi kwenye mfuko wa muungano!
 
Siasa bhana!imagine mwanasiasa anataka eneo lenye watu wasiozidi mil1 lipate mgao sawa na eneo lenye watu mi59.
Yani inshort baba mwenye familia mbili moja ina mke na mtoto mmoja nyingine ina mke na watoto 10. Kisha tunawaza baba afanye mgao sawa. TZ ina vihoja sana
 
Tuseme ukweli, nje ya muungano, SMZ haiwezi kuendesha taifa la Zanzibar hata kwa miezi mitatu.
Muungano kimaisha unatusitiri mnoo wazanzibar.
Wewe mchaga kutoka machame upo Zanzibar kuuza vinyago tangu lini umekua Mzanzibari ?
 
Lipate kulingana na mchango wake ,sio Wilaya ni Nchi Ile.
 
Wao Zanzibar wanachangia shilingi ngapi kwenye mfuko wa muungano!
Ndio msingi wa hoja ya Zito,wanachangia zaidi kuliko wanachopata.

Tanganyika imejigeuza Tanzania so hakuna hata mfuko wa Muungano ila Kuna taasisi za Muungano zinachukua pesa Zanzibar mfano ni TRA ambao wanakusanya zaidi ya Bil.400 ,hapo sijataja taasisi zingine.
 
Uvivu na ujinga umejaa na kutapakaa Zanzibar kupita maelezo.
Ukiwa mbali unaweza kudhania wazanzibar ni watu kweli kweli, ukikaribia ndio utagundua ni midomo mitupu, maneno matupu, maskini balaa.
Wewe Mzanzibari wa mchongo kutoka machame endelea na bishara yako ya kuuza vinyogo hapo Zanzibar hayo mengine waachie wenyewe wewe Tajiri umesoma lakini upo Zanzibar unauza vinyago pole sana
 
Mugabho kwa kutetea ujinga huwa hajambo plus ubishi!
 
Hivi ameshindwa hata kutazama matumizi kwenye idadi ya wabunge wa Zbr dhidi ya wale wa Tgk
 
Kwani Zanzibar ina ukubwa wa asilimia ngapi katika Tanzania kwa ujumla?... Yawezekana mgao unaendana na ukubwa na mchango wa eneo husika.
 

Tatizo ni haki za Watanzania wa bara huko visiwani. Kukataza wabara kumiliki Ardhi ni doa kubwa kwa huu Muungano
 
Wazanzibar watalalamika sana kuhusu muungano ila alie watia chakani ni mzee karume kwa kuingia na kusaini mikataba mibovu ya muungano kana kwamba alijua ataishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…