Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
MATAGA bila kutaja Mbowe mnajiona hamko sahihi!Haya mambo yamekuchanga embu kunywa maji mengi alafu upumzike.lakin pia unge elekeza hayo maswali pia kwa mwenyekiti Mbowe na wengineo siyo huyo peke yake pengine ungapata majibu sahahi kwa wote
ICC ni mahakama ya wanachama walio weka saini makubaliano ya Rome. Nchi ikijitoa ICC, mahakama haina nguvu ya kusikiliza au kuchunguza kesi za nchi hiyo. Kwanza ni kituko kufikiri ICC itapokea kesi kutoka kwa mtu binafsi bila kupitia taasisi zinazo kubalika kama Serikali au UN.ACT - Wazalendo kabla ya kukubali kuingia kwenye "SUK" walikaa vikao kadhaa na Balozi Wa Marekani.
Leo Balozi Wa Marekani amekua wa kwanza kupongeza hatua ya ACT - Wazalendo kukubali SUK.
Tundu Lissu na ACT - Wazalendo ndio wataisababishia madhara makubwa sana serikali ya CCM muda si mrefu (Japokua mpaka sasa hivi wameshaijeruhi sana tu, ila wanaficha ukweli na kujikaza kiaskari). Wengi watalidharau hili na kulipinga.
Mwaka huu na mwakani serikali "ITAKOPA SANA NA KUJILIMBIKIZIA MADENI MENGI SANA", ambayo mpaka wajukuu zetu watayakuta.
Sisi watanzania wengi tunakwenda kwa kufuata mkumbo. Hio picha ni foundation ya sinema inayojiri muda si mrefu ya kesi ya ICC na African Court On Human And Peoples Rights.
Stay tuned. Yajayo yanafurahisha.
Inaonekana hujui international criminal law. Nenda soma trigger mechanisms of the ICC jurisdiction. Sawa kesi ya Tanzania inaweza isifikie sifa ya kufunguliwa ICC ila si kwasababu ya trigger mechanism. Mtu yeyote anaweza trigger jurisdiction of the ICC through Prosecutor proprio motu. Kimsingi Tanzania ni member wa ICC na ni miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa kisign the Rome Statue of the International Criminal Court.ICC ni mahakama ya wanachama walio weka saini makubaliano ya Rome. Nchi ikijitoa ICC, mahakama haina nguvu ya kusikiliza au kuchunguza kesi za nchi hiyo. Kwanza ni kituko kufikiri ICC itapokea kesi kutoka kwa mtu binafsi bila kupitia taasisi zinazo kubalika kama Serikali au UN.
You can trigger mechanism but is there any case to answer? considering ICC doesn't prosecute gov nor institutions? kama watu walikataa kutii amri halali ya kutofanya fujo au kutoandamana na kutishia usalama wa watu wengine sheria za nchi zikatumika, were is the case there?Inaonekana hujui international criminal law. Nenda soma trigger mechanisms of the ICC jurisdiction. Sawa kesi ya Tanzania inaweza isifikie sifa ya kufunguliwa ICC ila si kwasababu ya trigger mechanism. Mtu yeyote anaweza trigger jurisdiction of the ICC through Prosecutor proprio motu. Kimsingi Tanzania ni member wa ICC na ni miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa kisign the Rome Statue of the International Criminal Court.
Vita ya CHADEMA na Zitto naifananisha na vita ya Tundu Lissu na MaCCM.Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.
Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .
CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.
Dogo unateseka sana.Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.
Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .
CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.
Wewe ni Magu?Sikuona haja ya TAL kukimbia nchi.aliahidiwa kazi na Rais.
Kweli mabeberu wamevishika vichwa vya baadhi ya watu.hapakuwa na ishara yoyote ile ya kufanyiwa hujuma wala nini.
Au atarudi akisikia DPP amemfutia kesi zake zoote ?
Nikiwa kama mtanzania sijaona sababu ya yeye kukimbia nchi.sisi tunajivunia kushiriki kuijenga nchi yetu. aje tu teuzi zipo nyingi Sana cha msingi tu aridhike na atakachopata.
Mbona ZZK yupo tu anakomaa akisubiria uteuzi apige kazi.?
Madeni ya Zitto yanakuhusu nini?Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.