Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza kushinda. Tunataka kuhakikisha hatulalamiki tu bali tunachukua hatua za kuwarudishia haki zenu."
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024