Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza kushinda. Tunataka kuhakikisha hatulalamiki tu bali tunachukua hatua za kuwarudishia haki zenu."

Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali. Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo...

Kesi zifunguliwe kote ilikofanyika wizi wa kura na uchafuzi wa aina yoyote. Hata zikiwa kesi 4,000 Duniani ishuhudie hata wakiwapigia simu sawa na itajulikana pia.
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali. Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo...
Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza kushinda. Tunataka kuhakikisha hatulalamiki tu bali tunachukua hatua za kuwarudishia haki zenu."
Zitto mjanja sana...... Anataka aendekee kutrendi kigoma kuputia mahakamani kumbe anajinadi yeye kwa ajiri ya ubunge 2025 na atasimamisha mgombea urais ili wapate ruzuku.
Siasa ni calculation kali zaidi ya physics.
Hata hivyo uchaguzi mkuu watapelekewa moto na CCM kama kawa.
Watu wa tume na polisi waliofanya uovu wote huo ni waajiriwa wa serekali ya CCM,mahakimu na mjaji nao ni waajiriwa wa serekali ya CCM ndio wale akina Tulia na akina Decha ambao leo ni jaji na mkuu wa tume kesho wanagombea ubunge na urais kwa tiketi ya CCM mpaka unajiuliza hawa watu walikuwa wanaccm lini wakati maadili ya kazi yao yanakataa.
Yetu macho,kesi ya ngedere anapelekewa nyani,ni sawa na kumnyang'anya mahindi ngedere na kumpelekea nyani ayalinde.