Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa na ili kuhakikisha bunge alifanyiwi utani watu wa Tabora pigine moyo konde tukapambane na kurejesha thamani bunge na kuibana serikali na kuzia wizi.