GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 14, 2023 #1 Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 May 14, 2023 #2 Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 May 14, 2023 #3 Nguo nyeupe huvaliwa misibani na baadhi ya watu wa mataifa yaliyo endelea zaidi ya hapa TZ anza na budha
Nguo nyeupe huvaliwa misibani na baadhi ya watu wa mataifa yaliyo endelea zaidi ya hapa TZ anza na budha
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 May 14, 2023 #4 Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... Kiswahili cha wapi hicho, mkuu Notorious thug . Mbona mwenzio Notorious king yupo vizuri? Hao wote ni wakubwa kiumri. Labda kama ulimaanisha yupi ni mkubwa ZAIDI?
Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... Kiswahili cha wapi hicho, mkuu Notorious thug . Mbona mwenzio Notorious king yupo vizuri? Hao wote ni wakubwa kiumri. Labda kama ulimaanisha yupi ni mkubwa ZAIDI?
Lovie Lady JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 2,826 Reaction score 4,652 May 14, 2023 #5 Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... 👀
Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... 👀
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 14, 2023 #6 Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Notorious thug said: Samahani wadau hivi Membe na January Makamba nani mkubwa kiumri? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]