Zitto Kabwe: Wanashangilia Meli ya DRC, Kigoma hamna meli toka Uhuru

Zitto Kabwe: Wanashangilia Meli ya DRC, Kigoma hamna meli toka Uhuru

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC.

Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC

Chanzo: Zitto kabwe on all social media
 
Zitto hali mbaya
Ndugu zangu wa kibirizi, mwanga na kila kona mfyekeni mlaghai Zito

Amesababisha hadi migebuka imepungua
 
Back
Top Bottom