mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 25, 2020 #1 Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social media
Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social media
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 26, 2020 #2 Zitto hali mbaya Ndugu zangu wa kibirizi, mwanga na kila kona mfyekeni mlaghai Zito Amesababisha hadi migebuka imepungua
Zitto hali mbaya Ndugu zangu wa kibirizi, mwanga na kila kona mfyekeni mlaghai Zito Amesababisha hadi migebuka imepungua
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Oct 26, 2020 #3 Wamanyema na Waha sio watu wa kuchezea Jino kwa Jino hahaa...Meli ya Drc 😂😂