saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali.
Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi makubwa ya watanzania amejiweka nao kando nini sababu za yeye kujiweka kando?
Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi makubwa ya watanzania amejiweka nao kando nini sababu za yeye kujiweka kando?