Anakula $20,000 kila mwezi ana shida gani na siasa za kutoana majasho sahizi. Analamba asali toka kwenye mzinga kabisa 🤣🤣🤣Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali.
Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi makubwa ya watanzania amejiweka nao kando nini sababu za yeye kujiweka kando?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huwezi kuongea huku unakula. Ni bad manners!!!Zitto hawezi tena kuonekana hadharani akipinga Serikali.
Yeye alipewa kazi moja tu ambayo ni kujaribu kumsakama JPM kila kona, lakini ameshindwa.
Kwa sasa amekabidhiwa Buyu la Asali. Kwa hiyo hawezi kuongea huku akilamba asali, huwa inapalia.
Nikajua labda Mwijaku ana tabia mbovu kumbe hawa watu wa Kigoma unafiki ni jadi yao 😀😀😀 maana kama shule wote wamesoma.Jana alisema wanaolaumu wakati huu badala ya kushangilia ni mazwazwa, huyu kiumbe anastahili kuchongewa kabati na kuwekwa makumbusho ya taifa kwa unafiki.
Yeye mpaka leo bado anahangaika kupigana na yale yaliyofanywa na Magufuli, kuliko kuwa na wapinzani wa sampuli hii, afadhali tubaki na chama kimoja pekee.
Mumuache Zitto apumzike! Si mlimnyima ubunge? Sasa mnamuita vipi aje kuwatetea?Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi makubwa ya watanzania amejiweka nao kando nini sababu za yeye kujiweka kando?
Zito ni Mchumi na Mchumi yeyeote anajua hakuna kitu inaitwa mfumuko wa bei Tanzania ni ujinga tuu wa maamuma na mbumbumbu wa uchumi na ndio maana naunga mkono majibu ya Mwigulu.Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali.
Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi makubwa ya watanzania amejiweka nao kando nini sababu za yeye kujiweka kando?
Zitto hawezi tena kuonekana hadharani akipinga Serikali.
Yeye alipewa kazi moja tu ambayo ni kujaribu kumsakama JPM kila kona, lakini ameshindwa.
Kwa sasa amekabidhiwa Buyu la Asali. Kwa hiyo hawezi kuongea huku akilamba asali, huwa inapalia.
Alisema hayo ? Duh kweli kuna watu na viatu....Jana alisema wanaolaumu wakati huu badala ya kushangilia ni mazwazwa, huyu kiumbe anastahili kuchongewa kabati na kuwekwa makumbusho ya taifa kwa unafiki.
Yeye mpaka leo bado anahangaika kupigana na yale yaliyofanywa na Magufuli, kuliko kuwa na wapinzani wa sampuli hii, afadhali tubaki na chama kimoja pekee.