Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

Tafadhali san mkuu tusivunjiane heshima, wakati wa kula hua sipend maneno na mtu!! Wee endelea tu!!🚶🚶🚶🚶
 

JK, Membe, Mwigulu, January na Nape ndio founder wa chama cha ACT. Hakuna namna Zito anaweza kuongea chochote kwa hao watu.
 
ZZK Kakamatia buyu la asali Huku anaimba na kucheza ndombolo , ye kwao Congo mambo ya bongo hayamhusu, nyie mazwazwa uwaneni mtajiju.

Ukienda kwa Shari home kwake utashangaa unajikuta uko kwenye mnara wa Livingstone ujiji pembeni unaona Lake Tanganyika na pembeni Kuna Henry Morton Stanley na David Livingstone wakipiga divai!!
Chezea asali wewe!
Eti namsikia Zana za Kilimo akibwata kuwa deni la taifa linavumilika, My foot! Wakati Watu karibu tutauzwa ye Wala hajigusi
 
Zitto ni mchawi, mwaka huu hatapiga kelele sababu wa dini yake yupo
 
Zitto ni Chama tawala mshirika, anakula ana shiba. Na alishatoa kauli kuwa yeye awamu hii hawezi kuipinga serikali
 
Hapo Ayatollah huwezi kumuona maana Mkuu wa nchi ni muumini mwenzake!
 
Anakula $20,000 kila mwezi ana shida gani na siasa za kutoana majasho sahizi. Analamba asali toka kwenye mzinga kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamemuungia mrija direct kutoka kwenye dumu la asali![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Unataka aongee ili atutemee asali zilizojaa mdomoni kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…