Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Zitto: Kesi nyingi za uhujumu uchumi ni za kubambika na kukomoa sasa wanatafuta hela. Nchi ya GANGSTERISM 100%

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
FB_IMG_1569458010083.jpg
 
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
 
Absolutely true

Ndiyo yanayoikuta nchi hii hivi sasa, huyo Bwana anaagiza wapinzani wake wa kisiasa wakamatwe na wabambikiwe kesi za uhujumu uchumi, lakini wanajua kwenye mahakama zetu hawatashinda kesi hizo...........

Kutokana na ushahidi unaotakiwa kutolewa huko wa beyond reasonable doubt, ambao serikali wanajua hawatakuwa nao, kwa hiyo wamekuja na "gia" ya kuwaonea huruma watuhumiwa hao, kwa hiyo amekuja na sheria za kutaka "kuwakamua" watuhumiwa hao kwa kuwalazimisha wakiri wenyewe ili watoke magerezani huko na walipe mabilioni ya pesa ambayo wala hawana!
 
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
Lete hiyo video naitafuta sana.
 
MsemajiUkweli

Mmoja wa hao watu ni Yusuph Manji!!! Badala ya kumpa kesi ya uhujumu uchumi, kuhatarisha usalama wa taifa, na utumiaji wa dawa za kulevya... alikumbwa na hatia ipi miongoni mwa hizo?!

Mtakana sana, lakini serikali hii wakati mwingine huwa inafanya mambo kwa kukomoa raia wake!!! Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana wengi wanaokuwa target ni lazima wapewe kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji pesa kwa sababu ni kesi zisizo na dhamana!!

Lengo ni kuwakomoa wahusika kwamba lazima wakae ndani!!

Na kweli, wengi wanakaa ndani lakini mwisho wa siku, majority wanakutwa kutokuwa na hatia na mashitaka mazito kama hayo... but who cares! Mission Accomplished! WASHAKOMOLEWA TAYARI!!

Aidha ni juzi tu hapa Evans Aveva na Godfrey Nyange (Kaburu) wamefutiwa mashitaka ya utakatishaji wa fedha huku wakiwa wamekaa mahabusu kwa miezi kadhaa!!

Turudi kwa akina Rugemarila!! Kama lengo sio kuwakomoa kwanini walioshirikiana nao kuchota pesa za Escrow bado wanadunda mtaani?!

Ruge na Singasinga hawakutumia mitutu na vifaru kwenda kuchukua pesa za Escrow bali walipata baraka zote za viongozi waandamizi pamoja na mahakama!! Kwanini basi wawekwe ndani peke yao lakini miezi kadhaa baadae waambie waombe radhi na kutoa pesa ili waachie!!!

Mtu kama Singasinga ambae amedhohofika kweli kweli, hata kama hana hatia, unadhani ataacha kuomba radhi?!

Anyway, endeleeni tu kutetea lakini ukweli utabaki pale pale.
 
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
Why didn't he do something to change it if he cared so much?
 
Huwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.

Wa kulaumiwa ni yeye kwa kutucopia katiba ya udikteka Wa swahiba wake Dikteta Mao na kuipaste kama katiba ya nchi.100% za lawama zote zitabakia kwa mwalimu.Angeibadili alipoona hatari hio maana yaliyomo yalikuwepo.Aina hii ya katiba umfaa mtu mwenye hekima na busara.
 
Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.

Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.

Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
Siwajui wengine. Wale wa Acacia, akitoa maagizo alisema, 'wananishtaki mimi! Kamata maofisa wao wakuu wote, tuone kama hawatakuja kwenye meza ya mazungumzo'
 
Hizi kesi hazina ushahidi nyingi za kubambikiwa wanajua watashindwa thus miaka 4 sasa wamekosa ushahidi,kama ni kesi halali isingechukua hata mwezi kuupata ushahidi kuwatia hatiani.Kuepuka aibu ya kushindwa watawachomoa vipi ndo wamekuja na plan ya waandike barua kukiri walipe Pesa,kuomba msamaha tyr ni kukiri kosa bila kujali umebambikwa sababu uhuru wako na haki yako imeporwa.Haya mambo yanaaibisha .Na pia yatakuwa yakitumika kuumiza watu ili wachomolewe Pesa kama chanzo cha mapato .Unakamatwa unabambikwa unachomolewa unafilisiwa.
 
Back
Top Bottom