KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Hakuna Acacia tena uelewe nini..?”Ni kweli kuwa Serikali itapewa hisa za bure 16% kwenye Kampuni tanzu zote za Acacia hapa nchini kama tulivyoambiwa na Serikali. Lakini hisa hizo ni za Daraja la B ambazo ni hisa dhaifu kulinganisha na zile za Daraja la kwanza. Hisa hizo haziruhusiwi kuuzwa, hazina kura kwa masuala fulani fulani ya Kampuni na huwezi hata kuziweka kama dhamana ya mikopo. Hata mgawo wa gawio hisa hizi hupata baada ya wale wa daraja A kulipwa kwa ukamilifu.”
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji848][emoji848][emoji848]
Jana ilikuwa ni utiaji sahihi makubaliano yalishafanyika tangu July 2019.Makubaliano yamesainiwa Jana Zitto anasema Jukai 2019 .Ha ha ha njia ya mwongo fupi
Atueleze kwa hiyo sheria ya 2010 ni watanzania gani waliomiliki hiyo 30% ya hizo hisa kama sio haohao kina Mwapachu.zitto Alizoea kuhongwa hela na ACACIA yeye na Tundu Lisu .Ana hasira za Mtoa Rushwa ACACIA aliyekuwa akiwapa kufungishwa virago na Barrick kuingia ndani ya nyumba.
Wewe jamaa umesoma halafu umetoka kama ulivyoingia kusoma. Hivi kwanini wana CCM mna akili ndogo namna hiyo? Mna shida gani au kwakuwa mumekamatwa masikio mnaswagwa kama kondoo?
Wewe jinga umeshaambiwa kuwa hisa zilikuwa zimesajiliwa DSE tofauti na sasa hivyo watu wazawa walikuwa huru kununua ila kwa sasa hawawezi. Someni muelewe enyi vilaza wa CCM!Atueleze kwa hiyo sheria ya 2010 ni watanzania gani waliomiliki hiyo 30% ya hizo hisa kama sio haohao kina Mwapachu.
Mnahangaika sana wanazengo. Ila hamtafanikiwa. Sidhani kama kuna nia ya kweli ya kuwasaidia watanzania. Kama ipo, tungeona na tungewaamini. Kuungana na adui ishafeli maana adui ana akili zake. Sasa ni kuungana na wale wana sultani. Mtapata nini?
Wewe jinga umeshaambiwa kuwa hisa zilikuwa zimesajiliwa DSE tofauti na sasa hivyo watu wazawa walikuwa huru kununua ila kwa sasa hawawezi. Someni muelewe enyi vilaza wa CCM!
Mtadata wazee wa kuendana na matukio ili muandike analysis zenu
Umeelewa hata kilichoandikwa hapo binti.zitto Alizoea kuhongwa hela na ACACIA yeye na Tundu Lisu .Ana hasira za Mtoa Rushwa ACACIA aliyekuwa akiwapa kufungishwa virago na Barrick kuingia ndani ya nyumba.
Jana ilikuwa ni utiaji sahihi makubaliano yalishafanyika tangu July 2019.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao Akina mwapachu walikuwa tu proxy wakishililia hisa za wezi akina Lowasa,Zitto Kabwe ,Tundu Lisu na wezi wenzao.Atueleze kwa hiyo sheria ya 2010 ni watanzania gani waliomiliki hiyo 30% ya hizo hisa kama sio haohao kina Mwapachu.
Ingekuwa vyema sana ukaweka kiambatanisho kile Na. 4 katika makubaliano kati ya Barrick Gold Mines na GoT kilichotolewa na Barrick Mines kwa mujibu wa kanuni za masoko ya hisa ya Ulaya na USA kama ulivyoeleza ktk andiko lako
Naamini haitakuwa dhambi wala kuvunja sheria yeyote kwa kuu - display hapa kwa sababu tayari hiyo iko wazi kwenye masoko ya huko nje
By the way ni kuthibitisha kuwa ulichokiandika na kukiwasilisha hapa in ukweli halisi na siyo vitu ulivyoandika tu....
Na pia utawanyamazisha wote wanaokuona kama unafanya juhudi za kuichafua serikali yao tu kwa wao kutazamwa na ukweli katikati ya nyuso zao hadi waone aibu...!
Ungechambua hoja zake kwa data kama alivyofanya yeye badala ya mipasho !!. Aina ya watu wanaojikomba kwa watawala mna kasoro sana za kiuchambuzizitto Alizoea kuhongwa hela na ACACIA yeye na Tundu Lisu .Ana hasira za Mtoa Rushwa ACACIA aliyekuwa akiwapa kufungishwa virago na Barrick kuingia ndani ya nyumba.
Jibu basi hoja zake kuliko hiki unachokifanyaKaamka mtoto wa Taifa, kwa hiyo Mikataba iliyopita ilikuwa ni bora na ilitunufaisha kama Taifa?
Hebu jibu hoja zake kwa takwimu kama alivyoziweka yeye !!Huyu Zitto watu wameshampuuza na Mwaka Huu jumbo atakalookoa ni Twitter tu