Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Zito apuuzwe tu huyo anajali maslahi yake tu.
Hoja nyepesi hazina uchambuzi wa kina.


2020

Really? Really?

Ama kweli hili ni JF - JUKWAA LA SIASA...MTU anabisha tu hata kama ukweli unamtazama usoni mchana kweupe...!!

BTW and in contrary, ni kuwa, HOJA iliyowekwa mezani na Zitto SIYO NYEPESI na kinyume chake ni NZITO SANA, huko upande wa waimba pambio za kusifu "serikali ya wezi" hamwezi kuihimili wala kuijibu....!!

Poleni sana Timu JPM - Lumumba...

Na shauri lenu, mkiendelea kubisha kubisha tu bila kujijitetea kwa hoja, mtavuliwa nguo zote mpaka chupi na boksa zenu pale jamaa atakapo anika wazi makubaliano yote kati ya GoT na Barrick....!!
 
Mwambie aendelee kutapatapa
 
Mwambie aendelee kutapatapa
Usiwe lofa we jamaa,watu wanaweka hoja wewe unaleta ulofa.

Mambo kama haya inabidi yawekewe hata mijadala ama iwe bungeni au popote pale. Serikali iweke watu wake na hawa akina zitto waweke ufafanuzi wa hizi hoja.

Itakuja serikali nyingine ianze kufukua yaliyomo sasa muanze kuiona kama ni mungu mwingine tena.

Epuka kuwa shabiki lialia,jiridhishe japo kidogo,hizi hoja jmajawabu yake hasa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto Alizoea kuhongwa hela na ACACIA yeye na Tundu Lisu .Ana hasira za Mtoa Rushwa ACACIA aliyekuwa akiwapa kufungishwa virago na Barrick kuingia ndani ya nyumba.
Jibu hoja sio unaleta majungu,umeusoma mkataba kama Zitto alivyousoma na kuelezea? Hebu ufafanue mkataba tuone uongo wa Zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishachana naye tangu siku zile za kueleza umri wa ndege kwa mwaka ulioandikwa kwenye kioo cha ndege. Hana substance. Papala tu na kutaka atajwe kama wale watu wa magazeti ya ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…