Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Kulikuwa na mjadala na bado unaendelea CH kuhusu kitabu tata cha Kabendera
Kwamba mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio yale yale yatakayotuletea Magufuli mwingine hapo mbeleni.
Hii ni kauli ya Mwanachama na Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo akizungumzia kitabu cha Eric Kabendera ambapo kwa wasomaji Zitto ametajwa zaidi ya mara 58.
Zitto ameongeza kwamba Ukitaka kujua hali ya Umagufuli wananchi wanaitaka tazama utendaji na uungwaji mkono wa wakuu wa mikoa na wananchi.
Japo hajataja moja kwa moja, lakini Mkuu wa mkoa anaeshabikiwa kwa sasa zaidi na wananchi wengi ni Paul C Makonda.
Je Paul ni yeye?
May be yes may be no.
2030 or so Rais anaweza kuwa Paul Makonda... Kama mazingira yataendelea kama yalivyo kwa Mujibu wa Ndugu yetu Zitto Kabwe.
Kaongea mengi sana, ila angalao hili limenitafakarisha .
Mazingira hayo ni yapi?
Ahsante.